Swali: Ni kina nani walosema kuwa imani ni maarifa tu?

Jibu: Jahmiyyah. Wao ndio wamesema kuwa imani ni maarifa ya moyo tu.

Swali: Ni kina nani walosema kuwa imani ni kauli tu?

Jibu: Karraamiyyah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-7.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020