Swali: Je, ´Iysaa anahesabika ni Nabii au ni Mtume kwa kuzingatia hakuna Wahy uliomteremkia?

Jibu: Ni Mtume. Aliteremkiwa na Kitabu ambacho ni Injiyl. Kwa hiyo ni Mtume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (03) http://alfawzan.af.org.sa/node/2046
  • Imechapishwa: 04/11/2016