´Iysaa (´alayhis-Salaam) akiwaamrisha wafuasi wake kutawadha


12Alipomaliza kuwanawisha miguu yao, alivaa tena mavazi yake, akarudi alikokuwa ameketi, akawauliza, “Je, mmeelewa nililowafanyia? 13Nyinyi mnaniita mimi ‘Mwalimu’ na ‘Bwana,’ hii ni sawa, maana ndivyo nilivyo. 14Kwahiyo, ikiwa mimi niliye Bwana wenu na Mwalimu wenu nimewanawisha ninyi miguu, pia hamna budi kunawishana miguu nyinyi kwa ninyi.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Yohana 13:12-14
  • Imechapishwa: 05/11/2017