Itafaa kumlazimisha msichana kuolewa akipata mchumba mwema?

Swali 683: Inafaa kumlazimisha msichana kuolewa na ambaye hayuko radhi yake?

Jibu: Haifai kwa baba yake kumlazimisha wala haifai kwa mama yake kumlazimisha kuolewa japokuwa watakuwa ni wenye kuridhia dini yake [huyo mwanaume].

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Naaswir as-Sa´diy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 265
  • Imechapishwa: 25/08/2019