Istisqaa´ kunatangulizwa swalah kwanza au Khutbah?

Swali: Ni maoni yepi sahihi zaidi katika Swalat-ul-Istisqaa´; kutanguliza Khutbah au swalah kwanza?

Jibu: Kilichothibiti na maoni ya wanachuoni wengi ni kwamba kunatangulizwa kwanza swalah. Ni kama Swalat-ul-´Iyd. Alifanya katika Swalat-ul-Istisqaa´ kama alivyofanya katika Swalaat-ul-´Iyd.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 03/12/2016