Istikhaarah na Raatibah kwa nia moja

Swali: Je, inafaa kukusanya kati ya nia ya sunnah ya Raatibah na Istikhaarah kwa njia ya kwamba mtu asitenganishe kando Rak´ah mbili za Istikhaarah?

Jibu: Inafaa kama tulivosema katika Isti´aadhah[1].

[1] Tazama https://wp.me/p7XuFC-tnC

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 186
  • Imechapishwa: 04/07/2022