Isti´aadhah kabla ya kusoma Qur-aan

Swali: Ni ipi hukumu ya Isti´aadhah kabla ya kuanza kusoma Qur-aan tukufu? Vitabu vingi vimeandika kuwa imependekezwa.

Jibu: Ni lazima.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 43
  • Imechapishwa: 01/07/2022