Isti´aadhah baada ya kuitikia salamu


Swali: Mmoja wetu akitutolea salamu wakati tunaposoma Qur-aan kisha akataka kuendelea na kisomo baada ya kuitikia – je, atatakiwa kuleta Isti´aadhah?

Jibu: Ndio.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 67-68
  • Imechapishwa: 01/07/2022