Swali: Je, ni israfu kutumia mawe ya thamani kama almasi na hivyo haijuzu?

Jibu: Hapana. Msingi ni kuwa inajuzu. Hatuharamishi kitu isipokuwa kwa dalili:

هُوَ الَّذِي خَلَقَ لَكُم مَّا فِي الْأَرْضِ جَمِيعًا

“Yeye ndiye Ambaye amekuumbieni vyote vilivyomo ardhini.” (02:29)

Vimeumbwa kwa ajili ya manufaa yetu. Msingi ni kuwa inajuzu. Isipokuwa kile ambacho dalili inaonyesha juu ya uharamu wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020