Swali: Ni kiasi gani wanawake wanatakiwa kupunguza nywele zao wakati wanapotoka kwenye Ihraam?

Jibu: Kiasi cha ncha ya kidole. Ikiwa mwanamke anayetoka Ihraam hatakiwi kukata zaidi ya ncha ya kidole, basi mtu anaweza kujiuliza juu ya wale wanawake wanaokata nywele zao na wanaziacha zikafanana na vichwa vya wanaume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 04/07/2020