1630 – Nilipokuwa mgonjwa baba yangu alikuwa kunitembelea ambapo nikamuuliza: “Niache wasia zaidi ya theluthi?” Akajibu: “Haijuzu. Napendelea hilo zaidi.”

Bi maana zaidi ya theluthi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa’il-ul-Imaam Ahmad (3/1181)
  • Imechapishwa: 10/03/2022