ISIS Ndio Warithi Wa Khawaarij Wa Zamani II


Swali: Unawanasihi vipi vijana wenye kujiunga na ile inayoitwa “nchi ya Kiislamu” – ISIS? Je, inazingatiwa kuwa ni kikundi cha uasi ambacho ni wajibu kukipiga vita?
Jibu: Vijana wednye kufuata kila kitu ni wajibu kwao kuzirejea nafsi zao na kujiepusha na kila chenye kuwatia katika maangamivu na uharibifu ambacho hatimaye inakuja kuwa madhara kwao. Vijana wenye fikira finyu na uoni mdogo ni wajibu kwao kuachana na mfumo huu mchafu wanaofuata na kujitenga mbali na watu hawa wapindaji wenye kufanya uasi kwa watu na ambao ni warithi wa Khawaarij wa zamani.
  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alharamain.gov.sa//index.cfm?do=cms.AudioDetails&audioid=56836&audiotype=lectures&browseby=speaker
  • Imechapishwa: 07/11/2016