ISIS Ndio Warithi Wa Khawaarij Wa Zamani I


Inasemekana ya kwamba kila watu wana warithi. Mapote yote yaliyokuwa yakiishi zamani yana warithi leo. Miongoni mwa warithi wa Khawaarij wa zamani leo ni pamoja na ISIS ambao hivi sasa wameasisi mizizi yao Iraaq. Niliandika makala kuhusu wao[1] iliyosomwa na zaidi ya wasomaji 100.000 kwa mwezi mmoja.

[1] Tazama http://www.al-abbaad.com/index.php/articles/125-1435-09-28

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.al-abbaad.com/index.php/articles/127-1435-11-09
  • Imechapishwa: 07/11/2016