Swali: Je, Isbaal ni dhambi kubwa? Je, suruwali ya soksi inaingia katika Isbaal, makoti na vyenginevyo?

Jibu: Isbaal ni kila chenye kushuka chini ya kongo mbili za miguu. Inaweza kuwa kanzu, kikoi au koti. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Shuka yenye kuvuka chini ya kongo mbili za miguu ni Motoni.”

 Inaweza kuwa kanzu, kikoi au koti.

Ama kuhusu suruwali ya soksi, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (82) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-08-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2018