Swali: Je, makatazo ya Isbaal ni jumla kwa nchi zote?

Jibu: Ni jumla kwa kila Muislamu katika nchi yoyote. Haijuzu kwake kuvaa Isbaal maadamu ni muislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%2027-3-1435.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020