Irjaa´ zote ni zenye kusemwa vibaya


Swali: Je, kuna Ijraa´ yenye kusifiwa na yenye kusimangwa?

Jibu: Hapana. Irjaa´ zote ni zenye kusemwa vibaya. Murji-ah ni kundi. Baadhi yao ni wabaya zaidi kuliko wengine. Wabaya zaidi ni Jahmiyyah. Walio na Irjaa´ mbaya zaidi ni Jahmiyyah na walio na Irjaa´ nyepesi ni Murji-ah al-Fuqahaa´ katika Hanafiyyah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (63) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13810
  • Imechapishwa: 16/11/2014