Swali: Je, mtu amuitikie mwenye kukimu?

Jibu: Kumepokelewa Hadiyth iliotolewa na Abu Daawuud[1] juu ya kumwitikia mwenye kukimu. Lakini hata hivyo ni dhaifu haijengewi hoja. Maoni yenye nguvu ni kwamba haitikiwi.

[1] (01/411).

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Arkaan-il-Islaam, uk. 285
  • Imechapishwa: 28/04/2020