Swali: Inatosha katika kuunga udugu mtu akawapigia simu ndugu zake?

Jibu: Ndio. Huku pia ni katika kuuga udugu; akawapigia simu, akawasalimia na kuuliza juu ya hali zao au kama wanahitajia kitu. Ni jambo zuri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (90) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20-15-07-1439.lite__0_0.mp3
  • Imechapishwa: 18/08/2018