Swali: Mimi ni mgonjwa na naswali nyumbani. Mwadhini akimaliza kuadhini na mimi huadhini kwa ajili yangu mwenyewe…

Jibu: Hapana. Inatosha adhaana ya waadhini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
  • Imechapishwa: 11/02/2022