Inajuzu kwangu kukimbilia mahakama ya kikafiri kuomba haki yangu?

Swali: Ambaye anaishi katika nchi ya kikafiri na akafikwa na matatizo – je, inajuzu kwake kutafuta haki yake mahakamani ambayo inahukumu kwa kanuni za kutungwa?

Jibu: Ikiwa hakuna mahakama ya Kishari´ah na haki yake inapotea aitafute kwa kuwa hajamdhulumu yeyote na wala hakuchukua batili. Amechofanya ni yeye kuchukua haki yake tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (11) http://alfawzan.af.org.sa/node/2054
  • Imechapishwa: 11/02/2017