Inajuzu kwa mwanamke kuondosha nywele za usoni ikiwa hakudharurika kufanya hivo?

Swali: Inajuzu kwa mwanamke kuondosha nywele za usoni mwake ikiwa hana dharurah ya kufanya hivo?

Jibu: Nywele zenye kuudhi zinaondoshwa. Nyusi haijuzu kuzigusa. Nywele nyenginezo zote zinaweza kutolewa ikiwa zinaudhi. Vinginevyo bora zaidi ni kutozigusa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (22) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-05-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 19/06/2020