Inajuzu kutoa damu katika Ramadhaan kwa ajili ya kipimo?


Swali: Inajuzu kutoa damu katika Ramadhaan kwa ajili ya kipimo?

Jibu: Damu kidogo hakuna neno. Hakuna neno kwa mfungaji kutoa damu kidogo. Hili haliathiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaam al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14891
  • Imechapishwa: 03/06/2017