Inajuzu kunywa pombe ambayo imeandikwa kwamba haina kilevi (alcohol free)?


Swali 11: Inajuzu kunywa pombe ambayo imeandikwa kwamba haina kilevi (alcoholfree)?

Jibu: Ndio, ikiwa haileweshi hakuna neno. Hili ni jambo linalojulikana na linalotambulika. Ama ikitambulika kuwa inalewesha basi haifai mtu kuinywa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 33
  • Imechapishwa: 20/09/2018