Inajuzu kuigawanya Zakaat-ul-Fitwr ya mtu mmoja kwa watu wengi?


Swali: Zakaat-ul-Fitwr ya mtu mmoja haijuzu kuigawanya bali anatakiwa kupewa mtu huyo huyo mmoja?

Jibu: Inajuzu kutoa Zakaat-ul-Fitwr ya mtu mmoja kumpa mtu mmoja kama ambavyo inajuzu vilevile kuigawanya kwa watu wengi.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/377)
  • Imechapishwa: 23/06/2017