Inajuzu kufupisha na kujumuisha swalah kwa safari ya kwenda kazini?

Swali: Mimi kila siku naenda kazini kwa masafa yaliyo kama ya safari. Je, inajuzu kutendea kazi hukumu za safari kwa kuzingatia ya kwamba hurudi siku hiyo hiyo?

Jibu: Ndio, njiani. Ikiwa masafa sio chini ya kilomita 80 unaweza kufupisha mpaka unaporudi katika mji wako. Unaweza kufanya hivo wakati wa kwenda kazini na wakati wa kurudi nyumbani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020