Inafaa mwanamke kusafiri na Mahram kafiri?

Swali: Inafaa kwa baba wa mwanamke ambaye ni kafiri kuwa Mahram wake katika safari?

Jibu: Hapana. Haaminiwi kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17331
  • Imechapishwa: 13/12/2017