Inafaa mtu kuzungumza Katika Khutbah ya ´iyd?

Swali: Je, inajuzu kwa mtu kuzungumza wakati wa Khutbah ya ´iyd?

Jibu: Ndio, haina neno. Khutbah ya ´iyd sio kama Khutbah ya ijumaa. Inajuzu kwake hata kwenda na hatokaa [na kusikiliza Khutbah]. Khutbah ya ´iyd na Khutbah ya kuomba kuteremshiwa mvua inafaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-07.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020