Inafaa kwa wanawake kuswali pamoja kazini au masomoni?

Swali: Inafaa kwa mwanaume kutoa adhaana na kukimu kama mwanaume? Inafaa kwa wanawake kuswali kwa pamoja kazini au masomoni?

Jibu: Ama kuhusu kuswali mkusanyiko kwa mmoja katika wao akawaswalisha ni sawa.

Kuhusu kutoa adhaana na kukimu hawana si adhaana wala Iqaamah. Haifai kwa wanawake kuadhini wala kukimu. Haya ni miongoni mwa mambo maalum kwa wanaume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa ´alaa al-Hawaa´ http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1436-03-02.mp3
  • Imechapishwa: 01/12/2017