Inafaa kwa msafiri kukusanya kati ya ijumaa na ´Aswr?


Swali: Je, inajuzu kwa msafiri kukusanya kati ya swalah ya ijumaa na ´Aswr?

Jibu: Hapana, haijuzu. Kuna fatwa zinazokataza jambo hili. ´Aswr haiko katika sampuli ya swalah ya ijumaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-3-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 17/11/2018