Inafaa kuwapa Zakaat-ul-Fitwr watenda maasi?


Swali: Makafiri wanaotumia miraa na kuvuta sigara wanapewa Zakaat-ul-Fitwr au hapana?

Jibu: Matendo yao haya hayauizii kupewa zakaah. Hawatoki katika Uislamu kwa mambo hayo. Ni waumini kwa imani yao na ni watenda maovu kwa yale mambo ya haramu wanayofanya. Ni wajibu kwa mtawala kuwakataza yale wanayoyafanya na kuwaadhibu kwayo.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/376)
  • Imechapishwa: 23/06/2017