Swali: Je, inafaa kuua mbwa bila ya sababu?

Jibu: Hapana. Isipokuwa mbwa tu za kushambulia. Mbwa yenye kushambulia inafaa kuiua, ama zisizoshambulia hapana. Haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–09041434.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020