Swali: Nikiwa na paka mweusi aliyeingia kwenye kuni akaniudhi ambapo nikamfukuza lakini hata hivyo akarudi – je, inajuzu kumuua?

Jibu: Akikuudhi muue. Kwa sababu kila mwenye kuudhi anauawa hata akiwa mwanadamu. Wale wenye kueneza ufisadi juu ya ardhi wanauawa. Tusemeje juu ya paka? Akikuudhi ambapo ukamfukuza lakini hata hivyo akakaidi, una ruhusa ya kumuua.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (70) http://binothaimeen.net/content/1575
  • Imechapishwa: 11/03/2020