Imechukizwa kufunga jumamosi peke yake?


Swali: Je, ni kweli kwamba imechukizwa kufunga jumamosi peke yake?

Jibu: Ndio. Imechukizwa kufunga siku ya jumamosi peke yake kwa sababu ni siku inayoadhimishwa na mayahudi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017