Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kusema ya kwamba dini iko kwenye moyo na sio kwenye ndevu na ndevu ni decor tu?

Jibu: Decor? Anafanyia mzaha Sunnah. Lau angelikuwa na dini kwenye moyo asingelinyoa ndevu zake. Kunyoa ndevu ni dalili inayoonesha kuwa dini na imani yake ni pungufu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/nawaqid-18-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/04/2015