Imani ya Abu Bakr (Radhiya Allaahu ´anh) ni kubwa kuliko Ummah mzima


Swali: Je, imani ya Abu Bakr (Radhiya Allaahu ´anh) ni kubwa kuliko imani ya Ummah kuanzia mwanzo wake mpaka mwisho wake?

Jibu: Hili mmeshaliuliza na tumeshawajibu. Jibu ni ndio. Ina maana mnataka kujilinganisha na Abu Bakr (Radhiya Allaahu ´anhu)? Hii ni fadhilah ya Allaah humpa amtakaye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (67) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13854
  • Imechapishwa: 16/11/2014