Swali: Ni ipi hukumu ya swalah ya ijumaa nyuma ya imamu ambaye anasoma al-Faatihah kimakosa?

Jibu: Ikiwa ni makosa yanayobadilisha maana yake haisihi kuswali nyuma yake. Kisomo ambacho kinabadili maana kama vile:

الْحَمْدُ لِلَّـهِ رَبِّ العالِمين

“Himdi zote anastahiki Allaah, Mola wa wajuzi.”

Kisomo hichi ni chenye kubadilisha maana.

Kuhusu kisomo cha makosa ambacho hakibadilishi maana hakiharibu swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017