Imamu na muadhini kuwakilisha wengine

Swali: Mimi ni muadhini katika msikiti moja wapo. Wakati ninapofikwa na dharurah au nikataka kuhudhuria darsa kama hii, basi huwakilisha mtu akaadhini. Wakati imamu anapofikwa na kile kinachonifikia naye humuwakilisha mwengine. Je, tuna dhambi kufanya hivo?

Jibu: Natarajia hakuna dhambi kwa kufanya hivo – Allaah akitaka – midhali hakuna kukwepa sana. Ama ikiwa kutatokea kutokuwepo kwa wingi kuna utata. Katika hali hiyo nachelea kusije kuwa na dhambi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (02) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/429/429.mp3
  • Imechapishwa: 07/03/2018