Jibu: Niliswali nyuma ya imamu mwenye kukosea katika Suurah “al-Faatihah”. Badala ya kusoma ذ katika الذين yeye anasoma ز. Ni ipi hukumu ya swalah yangu? Nirudi swalah yangu?

Jibu: Mweleze kuwa haijuzu na asahihishe kisomo chake. Ukirudi swalah yako ni salama zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (34) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid-17-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017