Imamu amekumbuka kuwa hana wudhuu´ ndani ya swalah

Swali: Imamu akikumbuka ndani ya swalah kwamba hana twahara afanye nini?

Jibu: Imamu akikumbuka kuwa hana twahara atatoka nje na kumtanguliza mbele mwenye kuwaongoza watu katika swalah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (13) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191589#219913
  • Imechapishwa: 03/11/2019