Imamu ambaye amechelewa baadhi ya Rak´ah

Swali: Je, inasihi kwa maamuma kuswalishwa na ambaye anakamilisha swalah yake ni mamoja mswaliji huyo ni miongoni mwa wale ambao wamewahi baadhi ya Rak´ah pamoja na ile swalah ya mkusanyiko wa kwanza au amekuja baada ya kumalizika swalah ya mkusanyiko?

Jibu: Inafaa kumfanya imamu wake yule ambaye analipa swalah yake. Kisha atakapotoa Tasliym yule ambaye analipa yeye atakamilisha kivyake. Ni sawa pia akiswali peke yake au wote wakaswali kwa pamoja.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21654/حكم-الاىتمام-بالمسبوق-في-صلاة-الجماعة
  • Imechapishwa: 08/09/2022