Imamu afanye nini akikumbuka kuwa ameingia katika swalah pasina wudhuu´?

Swali: Kuna imamu mmoja ameswali kisha akakata swalah yake na akawaamrisha maamuma wamsubiri dakika mbili. Akaenda kutawadha kisha akarudi kuswali. Ni ipi hukumu ya kitendo chake hichi?

Jibu: Ndio, hivi ndio sahihi. Kwa kuwa ameingia katika swalah pasi na wudhuu´. Aende kutawadha na kurudi kuswali nao kuanzia mwanzo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (56) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13487
  • Imechapishwa: 16/11/2014