al-Fawzaan mume kuongeza mke bila ya bi mkubwa kujua


Swali: Ni ipi hukumu ya kuoa kwa siri bila ya mke wa kwanza kujua?

Jibu: Bi mkubwa hana kinachomuhusu na kumkataza mume wake na kusema kuwa imeshurutishwa akajua. Hili halikushurutishwa. Kinachotakikana kwake ni kufanya uadilifu kati ya wake zake. Hili ndio linalotakikana, sawa ikiwa atajua au hatojua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13382
  • Imechapishwa: 28/04/2018