Imaam al-Fawzaan kuhusu mashindishano ya Qur-aan kwa wanawake

Swali: Ni ipi hukumu ya mashindishano ya Qur-aan ya wanawake kwa ajili ya kuwashaji´isha kuweza kuhifadhi? Je, inajuzu kuikhitimisha kwa kufanya sherehe ambapo wanapewa zawadi wale wanawake waliofuzu?

Jibu: Haina neno kufanya mashindishano ya kusoma Qur-aan au kuhifadhi kwa wanawake. Lakini kusiwepo mambo ya sherehe na mchanganyiko wa wanaume na wanawake. Wanawake wawe wamejificha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo%20%20-%2021%20-%2008%20-%201435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015