Swali: Katika kipindi cha mwisho kumejitokeza TV maalum kwa ajili ya Anaashiyd za Kiislamu. Ni zipi nasaha zako kuzitazama na kushiriki ndani yake?

Jibu: Anaashiyd ambazo wanaziita eti ni za “Kiislamu”, kwa ajili ya kuzipigia debe, zinatoka kwa moja ya mapote mawili:

1- Suufiyyah ambao wanaabudu kwazo na wamezifanya ni katika kumdhukuru Allaah.

2- Hizbiyyuun ambao wamezifanya kwa ajili ya kulingania katika Hizbiyyah yao na kueneza mambo yao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ma´aalim Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah, uk. 39-40
  • Imechapishwa: 21/05/2021