Swali: Kijana anatakiwa kuwa na umri gani ili awe Mahram wa mwanamke?
Jibu: Anatakiwa awe amekwishabaleghe na mwenye akili. Kunahitajika mambo mawili; kubaleghe na akili. Hapo ndipo anaweza kuwa Mahram.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (28)
- Imechapishwa: 05/02/2022