Ikiwa unaweza kumkataza Raafidhwiy kushika Qur-aan basi fanya hivo


Swali: Je, Raafidhwah wakatazwe kusoma Qur-aan pindi mmoja wao atapatikana yuko nayo?

Jibu: Naonelea ikiwa unaweza kumkataza basi fanya hivo.

  • Mhusika: Shaykh Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://mdkhly.com/1413
  • Imechapishwa: 02/12/2017