Swali: Mwanamke akiona damu na akawa ameacha kuswali. Damu hiyo ikakatika ndani ya mchana na usiku mmoja. Je, akidhi swalah alizoacha?

Jibu: Damu hiyo ikimbainikia kuwa haikuwa hedhi akidhi zile swalah alizoacha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (7) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–15041434.mp3
  • Imechapishwa: 28/12/2016