Inafaa kusafiri kwenda katika msikiti kwa ajili ya kukaa I´tikaaf?


Swali: Inajuzu kusafiri kwenda kwenye msikiti kwa ajili ya kufanya I´tikaaf?

Jibu: Ikiwa ni ile misikiti mitatu, ndio; msikiti Mtakatifu, msikiti wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na msikiti wa al-Aqswaa. Ama misikiti mingine yote iko sawa; afanye I´tikaaf kwenye msikiti wowote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-08-13.mp3
  • Imechapishwa: 09/06/2018