Swali: Je, Jeddah ni kituo?

Jibu: Hapana, ni kituo kwa wakazi wake au wale wenye kunuia kufanya ´Umrah au Hajj kutokea hapo. Yule aliyeko hapo na akanuia kufanya Hajj au ´Umrah, basi ataingilia Ihraam hapo. Wakazi wa Jeddah wataingilia Ihraam hapo. Kuhusu wengine wote wanatakiwa kuingia Ihraam katika vituo vilivyo kwenye njia zao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (20) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-6-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 18/01/2020