Swali: Ikiwa watu wote wa kijijini kwangu ni Suufiyyah na msikiti una mambo ya ki-Suufiy. Je, inafaa kwangu kuacha swalah ya mkusanyiko pamoja na watu hawa?

Jibu: Ndio. Fanyeni sehemu ya kuswalia ya kwenu au mwende katika msikiti mwingine usiyokuwa na mambo na utawala wa ki-Suufiy.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (97) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igatha26-02-1440-h.mp3
  • Imechapishwa: 10/05/2019